sw_tn/exo/21/35.md

379 B

kugawana gharama

"gawanya pesa"

kama ilijulikana

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

tabia ya kupiga hapo awali

"kapiga wanyama wengine kabla"

mmiliki wake hakumfunga ndani

Hii ina maana mmiliki hakumhifadhi ng'ombe kwa usalama ndani ya uzio.

lazima alipe ng'ombe kwa ng'ombe

Mmiliki wa ng'ombe aliye ua lazima atoe ng'ombe kwa aliye poteza ng'ombe wake.