# kugawana gharama "gawanya pesa" # kama ilijulikana Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # tabia ya kupiga hapo awali "kapiga wanyama wengine kabla" # mmiliki wake hakumfunga ndani Hii ina maana mmiliki hakumhifadhi ng'ombe kwa usalama ndani ya uzio. # lazima alipe ng'ombe kwa ng'ombe Mmiliki wa ng'ombe aliye ua lazima atoe ng'ombe kwa aliye poteza ng'ombe wake.