sw_tn/exo/21/12.md

374 B

piga

"shambulia"

huyo mtu lazima auwawe

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kufanya pasipo kukusudia

"hakupanga kufanya" au "hakufanya kwa kusudia"

nitaanda sehemu ya yeye kukimbilia

Kusudi la kuchagua sehemu laweza andikwa wazi hapa.

kwa kadiri ya mbinu erevu

"baada ya kufikiria kwa uangalifu"

Hili afe

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.