# piga "shambulia" # huyo mtu lazima auwawe Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # kufanya pasipo kukusudia "hakupanga kufanya" au "hakufanya kwa kusudia" # nitaanda sehemu ya yeye kukimbilia Kusudi la kuchagua sehemu laweza andikwa wazi hapa. # kwa kadiri ya mbinu erevu "baada ya kufikiria kwa uangalifu" # Hili afe Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.