sw_tn/exo/21/12.md

24 lines
374 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# piga
"shambulia"
# huyo mtu lazima auwawe
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# kufanya pasipo kukusudia
"hakupanga kufanya" au "hakufanya kwa kusudia"
# nitaanda sehemu ya yeye kukimbilia
Kusudi la kuchagua sehemu laweza andikwa wazi hapa.
# kwa kadiri ya mbinu erevu
"baada ya kufikiria kwa uangalifu"
# Hili afe
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.