sw_tn/exo/19/12.md

408 B

Maeleo ya Jumla

Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa

Yeyote atakaye shika mlima ata uawa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Yeyote atakaye shika

"Mtu yeyote atakaye gusa"

mtu huyu

"ambaye atafanya hivi"

lazima apigwe mawe au kuchomwa mshale

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kuchomwa

Hii ya husu kufa kwa mtu anaye piga mishale kutoka kwenye upinde au jiwe kwenye manati.