sw_tn/exo/19/12.md

24 lines
408 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maeleo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa
# Yeyote atakaye shika mlima ata uawa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Yeyote atakaye shika
"Mtu yeyote atakaye gusa"
# mtu huyu
"ambaye atafanya hivi"
# lazima apigwe mawe au kuchomwa mshale
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# kuchomwa
Hii ya husu kufa kwa mtu anaye piga mishale kutoka kwenye upinde au jiwe kwenye manati.