# Maeleo ya Jumla Yahweh anaendelea kuzungumza na Musa # Yeyote atakaye shika mlima ata uawa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # Yeyote atakaye shika "Mtu yeyote atakaye gusa" # mtu huyu "ambaye atafanya hivi" # lazima apigwe mawe au kuchomwa mshale Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # kuchomwa Hii ya husu kufa kwa mtu anaye piga mishale kutoka kwenye upinde au jiwe kwenye manati.