sw_tn/exo/19/07.md

16 lines
359 B
Markdown

# Aliweke mbele yao maneno yote
Mwandishi ana andika kuhusu Musa kuwaambia watu vitu kana kwamba alikuwa ana weka maneno mbele yao.
# maneno yote haya Yahweh aliyo muamuru
Neno "maneno" ya husu kile Yahweh alicho sema.
# musa akaja kutoa taarifa
Pale Musa alipo enda pa weza andikwa wazi.
# maneno ya watu
Neno "maneno" ya husu kile watu walicho sema.