# Aliweke mbele yao maneno yote Mwandishi ana andika kuhusu Musa kuwaambia watu vitu kana kwamba alikuwa ana weka maneno mbele yao. # maneno yote haya Yahweh aliyo muamuru Neno "maneno" ya husu kile Yahweh alicho sema. # musa akaja kutoa taarifa Pale Musa alipo enda pa weza andikwa wazi. # maneno ya watu Neno "maneno" ya husu kile watu walicho sema.