sw_tn/exo/19/07.md

359 B

Aliweke mbele yao maneno yote

Mwandishi ana andika kuhusu Musa kuwaambia watu vitu kana kwamba alikuwa ana weka maneno mbele yao.

maneno yote haya Yahweh aliyo muamuru

Neno "maneno" ya husu kile Yahweh alicho sema.

musa akaja kutoa taarifa

Pale Musa alipo enda pa weza andikwa wazi.

maneno ya watu

Neno "maneno" ya husu kile watu walicho sema.