sw_tn/exo/18/21.md

32 lines
634 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Yethro anaendelea kuongea na Musa.
# Mbali zaidi, lazima uchague
"kwa niongeza, lazima uchague"
# maelfu, mamia, hamsini, na makumi
"makundi ya 1,000, makundi ya 100, makundi ya 50, na makundi ya 10"
# Lazima uwaeke juu ya watu
Yethro anaongelea kuwapa mamlaka juu ya watu kama kuwaweka juu ya watu.
# kesi za kawaida
"kesi rahisi"
# kesi ngumu wataleta kwako
Yethro anaongelea kumwambia Musa kuhusu kesi ngumu kama kumletea kesi ngumu.
# watabeba mzigo na wewe
Yethro anaongelea kazi ngumu ambayo watafanya kana kwamba ni mzigo watao beba.
# kuvumilia
kila watakaacho vumilia cha weza wekwa wazi.