# Sentensi Unganishi Yethro anaendelea kuongea na Musa. # Mbali zaidi, lazima uchague "kwa niongeza, lazima uchague" # maelfu, mamia, hamsini, na makumi "makundi ya 1,000, makundi ya 100, makundi ya 50, na makundi ya 10" # Lazima uwaeke juu ya watu Yethro anaongelea kuwapa mamlaka juu ya watu kama kuwaweka juu ya watu. # kesi za kawaida "kesi rahisi" # kesi ngumu wataleta kwako Yethro anaongelea kumwambia Musa kuhusu kesi ngumu kama kumletea kesi ngumu. # watabeba mzigo na wewe Yethro anaongelea kazi ngumu ambayo watafanya kana kwamba ni mzigo watao beba. # kuvumilia kila watakaacho vumilia cha weza wekwa wazi.