sw_tn/exo/18/21.md

634 B

Sentensi Unganishi

Yethro anaendelea kuongea na Musa.

Mbali zaidi, lazima uchague

"kwa niongeza, lazima uchague"

maelfu, mamia, hamsini, na makumi

"makundi ya 1,000, makundi ya 100, makundi ya 50, na makundi ya 10"

Lazima uwaeke juu ya watu

Yethro anaongelea kuwapa mamlaka juu ya watu kama kuwaweka juu ya watu.

kesi za kawaida

"kesi rahisi"

kesi ngumu wataleta kwako

Yethro anaongelea kumwambia Musa kuhusu kesi ngumu kama kumletea kesi ngumu.

watabeba mzigo na wewe

Yethro anaongelea kazi ngumu ambayo watafanya kana kwamba ni mzigo watao beba.

kuvumilia

kila watakaacho vumilia cha weza wekwa wazi.