sw_tn/exo/18/13.md

354 B

Ni nini unachofanya na watu?

Yethro anatumia hili swali kumuonyesha Musa kwamba alicho kuwa anafanya si sawa?

Kwanini unaketi peke yako ... asubui hadi jioni?

Yethro anatumia swali kumuonyesha Musa alikuwa anafanya sana.

unaketi peke yako

Neno "keti" hapa ni mbadala wa "hukumu" Waamuzi walikuwa wana keti wanapo sikiliza malalamishi ya watu.