# Ni nini unachofanya na watu? Yethro anatumia hili swali kumuonyesha Musa kwamba alicho kuwa anafanya si sawa? # Kwanini unaketi peke yako ... asubui hadi jioni? Yethro anatumia swali kumuonyesha Musa alikuwa anafanya sana. # unaketi peke yako Neno "keti" hapa ni mbadala wa "hukumu" Waamuzi walikuwa wana keti wanapo sikiliza malalamishi ya watu.