sw_tn/exo/18/13.md

12 lines
354 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni nini unachofanya na watu?
Yethro anatumia hili swali kumuonyesha Musa kwamba alicho kuwa anafanya si sawa?
# Kwanini unaketi peke yako ... asubui hadi jioni?
Yethro anatumia swali kumuonyesha Musa alikuwa anafanya sana.
# unaketi peke yako
Neno "keti" hapa ni mbadala wa "hukumu" Waamuzi walikuwa wana keti wanapo sikiliza malalamishi ya watu.