sw_tn/exo/16/28.md

588 B

Maelezo ya Jumla

Yahweh anaongea na Musa, lakini neno "wewe" la husu watu wote wa Israeli.

Kwa muda gani utaendelea kukataa kushika amri zangu na sheria zangu?

Mungu anatumia hili swali kuwa kemea watu maana hawakutii sheria zake.

kushika amri zangu na sheria zangu

"kutii amri zangu na sheria zangu"

Yahweh amekupa Sabato

Yahweh anaongea kuhusu kufundisha watu kupumzika Sabato kana kwamba Sabato ni zawadi.

siku ya sita ... siku mbili ... siku ya saba

"siku ya 6 ... siku 2 ... siku ya 7"

mkate

Hii ya husu mkate uliyo tokea kama barafu kwenye ardhi kila asubui.