sw_tn/exo/16/28.md

24 lines
588 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yahweh anaongea na Musa, lakini neno "wewe" la husu watu wote wa Israeli.
# Kwa muda gani utaendelea kukataa kushika amri zangu na sheria zangu?
Mungu anatumia hili swali kuwa kemea watu maana hawakutii sheria zake.
# kushika amri zangu na sheria zangu
"kutii amri zangu na sheria zangu"
# Yahweh amekupa Sabato
Yahweh anaongea kuhusu kufundisha watu kupumzika Sabato kana kwamba Sabato ni zawadi.
# siku ya sita ... siku mbili ... siku ya saba
"siku ya 6 ... siku 2 ... siku ya 7"
# mkate
Hii ya husu mkate uliyo tokea kama barafu kwenye ardhi kila asubui.