# Maelezo ya Jumla Yahweh anaongea na Musa, lakini neno "wewe" la husu watu wote wa Israeli. # Kwa muda gani utaendelea kukataa kushika amri zangu na sheria zangu? Mungu anatumia hili swali kuwa kemea watu maana hawakutii sheria zake. # kushika amri zangu na sheria zangu "kutii amri zangu na sheria zangu" # Yahweh amekupa Sabato Yahweh anaongea kuhusu kufundisha watu kupumzika Sabato kana kwamba Sabato ni zawadi. # siku ya sita ... siku mbili ... siku ya saba "siku ya 6 ... siku 2 ... siku ya 7" # mkate Hii ya husu mkate uliyo tokea kama barafu kwenye ardhi kila asubui.