sw_tn/exo/16/04.md

24 lines
522 B
Markdown

# Nitakunyeshea mvua ya mkate.
Mungu anaongelea chakula kutoka mbinguni kana kwamba ni mvua.
# mkate
Mungu anaongelea chakula ambacho atakituma kana kwamba ni mkate. Waisraeli watakula hichi chakula kila siku, kama walivyo kula mkate kila siku kabla ya hichi.
# wataendelea kushika sheria yangu
Mungu anaongelea kutii sheria yake kama kutembea ndani yake.
# sheria yangu
"amri yangu"
# Itakuja kuwa siku ya sita, kwamba wata
"itatokea siku ya sita kwamba wata" au "siku ya sita wata"
# siku ya sita
"siku ya 6"