# Nitakunyeshea mvua ya mkate. Mungu anaongelea chakula kutoka mbinguni kana kwamba ni mvua. # mkate Mungu anaongelea chakula ambacho atakituma kana kwamba ni mkate. Waisraeli watakula hichi chakula kila siku, kama walivyo kula mkate kila siku kabla ya hichi. # wataendelea kushika sheria yangu Mungu anaongelea kutii sheria yake kama kutembea ndani yake. # sheria yangu "amri yangu" # Itakuja kuwa siku ya sita, kwamba wata "itatokea siku ya sita kwamba wata" au "siku ya sita wata" # siku ya sita "siku ya 6"