sw_tn/exo/16/04.md

522 B

Nitakunyeshea mvua ya mkate.

Mungu anaongelea chakula kutoka mbinguni kana kwamba ni mvua.

mkate

Mungu anaongelea chakula ambacho atakituma kana kwamba ni mkate. Waisraeli watakula hichi chakula kila siku, kama walivyo kula mkate kila siku kabla ya hichi.

wataendelea kushika sheria yangu

Mungu anaongelea kutii sheria yake kama kutembea ndani yake.

sheria yangu

"amri yangu"

Itakuja kuwa siku ya sita, kwamba wata

"itatokea siku ya sita kwamba wata" au "siku ya sita wata"

siku ya sita

"siku ya 6"