sw_tn/exo/15/19.md

424 B

Miriamu .. Aruni

Miriamu alikuwa dada wa kwanza wa Musa na Aruni.

tari

Hichi ni chombo cha muziki kama ngoma ndogo yenye vipande vya chuma pembeni vinavyo toa sauti vikitikizwa

ameshinda kwa utukufu

"ameshinda kwa utukufu juu ya maadui zake"

Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini

Musa aliimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika na kuzamisha farasi na madereva kana kwamba Mungu aliwatupa baharini.