sw_tn/exo/15/19.md

16 lines
424 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Miriamu .. Aruni
Miriamu alikuwa dada wa kwanza wa Musa na Aruni.
# tari
Hichi ni chombo cha muziki kama ngoma ndogo yenye vipande vya chuma pembeni vinavyo toa sauti vikitikizwa
# ameshinda kwa utukufu
"ameshinda kwa utukufu juu ya maadui zake"
# Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini
Musa aliimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika na kuzamisha farasi na madereva kana kwamba Mungu aliwatupa baharini.