# Miriamu .. Aruni Miriamu alikuwa dada wa kwanza wa Musa na Aruni. # tari Hichi ni chombo cha muziki kama ngoma ndogo yenye vipande vya chuma pembeni vinavyo toa sauti vikitikizwa # ameshinda kwa utukufu "ameshinda kwa utukufu juu ya maadui zake" # Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini Musa aliimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika na kuzamisha farasi na madereva kana kwamba Mungu aliwatupa baharini.