sw_tn/exo/15/14.md

277 B

tetemeka

Hii ina maana kutikisika kwasababu una ogopa.

hofu itawakumba wakazi wa Filistia

Musa anaongelea hofu kana kwamba ni mtu anaye weza kuchukuwa kwa nguvu mtu na kumfanya aogope sana.

watayayuka

Musa anaongelea watu kuwa wadhaifu kutokana na hofu ya kuyayuka.