# tetemeka Hii ina maana kutikisika kwasababu una ogopa. # hofu itawakumba wakazi wa Filistia Musa anaongelea hofu kana kwamba ni mtu anaye weza kuchukuwa kwa nguvu mtu na kumfanya aogope sana. # watayayuka Musa anaongelea watu kuwa wadhaifu kutokana na hofu ya kuyayuka.