sw_tn/exo/15/06.md

902 B

Mkono wako wakulia, Yahweh, una nguvu ya utukufu

Musa anamzungumzia Mungu kama Mungu ana mikono. Mkono wa kulia wa husu nguvu ya Mungu au vitu Mungu anavyo fanya kwa nguvu.

mkono wako, Yahweh, umewavunja adui

Musa anamzungumzia Mungu kama Mungu ana mikono. Mkono wa kulia wa husu nguvu ya Mungu.

umewavunja adui

Musa anazungumzia adui kana kwamba ni dhahifu na waweza vunjwa kama kio au chungu.

walio inuka dhidi yako

Kuasi dhidi ya Mungu kuna zungumziwa kama kujiinua dhidi yake.

Umetuma gadhabu

Musa anazungumzia gadhabu ya Mungu kana kwamba ni mtumishi aliye mtuma kufanya kitu

imewateketeza kama karatasi

Musa anazungumzia gadhabu ya Mungu kana kwamba ni moto unao weza kuchoma vitu. Maadui zake waliharibiwa kabisa kama karatasi.

Kwa pumzi ya pua yako

Musa anamzungumzia Mungu kana kwamba Mungu ana pua, na upepo kana kwamba Mungu kapuliza upepo kwa kutoka puani mwake.