# Mkono wako wakulia, Yahweh, una nguvu ya utukufu Musa anamzungumzia Mungu kama Mungu ana mikono. Mkono wa kulia wa husu nguvu ya Mungu au vitu Mungu anavyo fanya kwa nguvu. # mkono wako, Yahweh, umewavunja adui Musa anamzungumzia Mungu kama Mungu ana mikono. Mkono wa kulia wa husu nguvu ya Mungu. # umewavunja adui Musa anazungumzia adui kana kwamba ni dhahifu na waweza vunjwa kama kio au chungu. # walio inuka dhidi yako Kuasi dhidi ya Mungu kuna zungumziwa kama kujiinua dhidi yake. # Umetuma gadhabu Musa anazungumzia gadhabu ya Mungu kana kwamba ni mtumishi aliye mtuma kufanya kitu # imewateketeza kama karatasi Musa anazungumzia gadhabu ya Mungu kana kwamba ni moto unao weza kuchoma vitu. Maadui zake waliharibiwa kabisa kama karatasi. # Kwa pumzi ya pua yako Musa anamzungumzia Mungu kana kwamba Mungu ana pua, na upepo kana kwamba Mungu kapuliza upepo kwa kutoka puani mwake.