sw_tn/exo/15/01.md

16 lines
458 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Huu ni wimbo wa matukio yaliyo tokea 14:16
# farasi na dereva wake amewatupa kwenye bahari
Musa aliimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika na kuzamisha farasi na dereva kana kwamba Mungu kawatupa baharini.
# farasi na dereva wake
Hii inahusu wote au farasi wengi wa Wamisri na madereva waliyo kuwa wakiwafukuzia Waisraeli.
# dereva
Huyu ni mtu anaye keti kwenye farasi au ana safiri kwa gari la farasi linalo vutwa na farasi.