sw_tn/exo/15/01.md

458 B

Maelezo ya Jumla

Huu ni wimbo wa matukio yaliyo tokea 14:16

farasi na dereva wake amewatupa kwenye bahari

Musa aliimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika na kuzamisha farasi na dereva kana kwamba Mungu kawatupa baharini.

farasi na dereva wake

Hii inahusu wote au farasi wengi wa Wamisri na madereva waliyo kuwa wakiwafukuzia Waisraeli.

dereva

Huyu ni mtu anaye keti kwenye farasi au ana safiri kwa gari la farasi linalo vutwa na farasi.