# Maelezo ya Jumla Huu ni wimbo wa matukio yaliyo tokea 14:16 # farasi na dereva wake amewatupa kwenye bahari Musa aliimba kuhusu Mungu kusababisha bahari kufunika na kuzamisha farasi na dereva kana kwamba Mungu kawatupa baharini. # farasi na dereva wake Hii inahusu wote au farasi wengi wa Wamisri na madereva waliyo kuwa wakiwafukuzia Waisraeli. # dereva Huyu ni mtu anaye keti kwenye farasi au ana safiri kwa gari la farasi linalo vutwa na farasi.