|
# upepo mkali wa mashariki
|
|
|
|
Upepo wa mashariki watoka mashariki na wapiga magharibi.
|
|
|
|
# mashariki
|
|
|
|
jua linapo chomoza
|
|
|
|
# maji yaligawanyika
|
|
|
|
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
|
|
|
|
# mkono wao wa kulia na mkono wao wa kushoto
|
|
|
|
"kila upande wao" au "pande zao mbili"
|