# upepo mkali wa mashariki Upepo wa mashariki watoka mashariki na wapiga magharibi. # mashariki jua linapo chomoza # maji yaligawanyika Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # mkono wao wa kulia na mkono wao wa kushoto "kila upande wao" au "pande zao mbili"