sw_tn/exo/14/21.md

268 B

upepo mkali wa mashariki

Upepo wa mashariki watoka mashariki na wapiga magharibi.

mashariki

jua linapo chomoza

maji yaligawanyika

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

mkono wao wa kulia na mkono wao wa kushoto

"kila upande wao" au "pande zao mbili"