sw_tn/exo/14/13.md

12 lines
228 B
Markdown

# Musa akawaambia watu
Musa anajibu hofu za Waisraeli.
# atakao uleta kwenu
"kwenu" ya husu Waisraeli wote
# Kwa maana hamtawaona tena Wamisri
Musa alitumia lugha ya busara kusema Mungu anaenda kuangamiza jeshi la Wamisri.