# Musa akawaambia watu Musa anajibu hofu za Waisraeli. # atakao uleta kwenu "kwenu" ya husu Waisraeli wote # Kwa maana hamtawaona tena Wamisri Musa alitumia lugha ya busara kusema Mungu anaenda kuangamiza jeshi la Wamisri.