sw_tn/exo/14/13.md

228 B

Musa akawaambia watu

Musa anajibu hofu za Waisraeli.

atakao uleta kwenu

"kwenu" ya husu Waisraeli wote

Kwa maana hamtawaona tena Wamisri

Musa alitumia lugha ya busara kusema Mungu anaenda kuangamiza jeshi la Wamisri.