sw_tn/exo/13/14.md

16 lines
429 B
Markdown

# Mwanae atakapo kuuliza baadae, 'Hii ina maana gani?' kisha utamwambia
Nukuu ya kwanza yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.
# mkono hodari
Neno "mkono" hapa ya wakilisha matendo ya Mungu au kazi.
# nyumba ya utumwa
Musa ana i zungumzia Misri kama ni nyumba watu wana hifadhia watumwa.
# kumbukumbu mikononi mwako na kumbukumbu kwenye paji lako la uso
Hii ni kumbukumbu mbili ili watu wasisahau kitu muhimu.