# Mwanae atakapo kuuliza baadae, 'Hii ina maana gani?' kisha utamwambia Nukuu ya kwanza yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja. # mkono hodari Neno "mkono" hapa ya wakilisha matendo ya Mungu au kazi. # nyumba ya utumwa Musa ana i zungumzia Misri kama ni nyumba watu wana hifadhia watumwa. # kumbukumbu mikononi mwako na kumbukumbu kwenye paji lako la uso Hii ni kumbukumbu mbili ili watu wasisahau kitu muhimu.