sw_tn/exo/13/14.md

429 B

Mwanae atakapo kuuliza baadae, 'Hii ina maana gani?' kisha utamwambia

Nukuu ya kwanza yaweza andikwa kama nukuu isiyo ya moja kwa moja.

mkono hodari

Neno "mkono" hapa ya wakilisha matendo ya Mungu au kazi.

nyumba ya utumwa

Musa ana i zungumzia Misri kama ni nyumba watu wana hifadhia watumwa.

kumbukumbu mikononi mwako na kumbukumbu kwenye paji lako la uso

Hii ni kumbukumbu mbili ili watu wasisahau kitu muhimu.