sw_tn/exo/13/11.md

12 lines
330 B
Markdown

# na atakapo wapa nchi ninyi
"na atakapo wapa nchi ya Wakanani ninyi"
# Kila mzaliwa wa kwanza wa punda
Israeli inapewa uchaguzi wa kuua mzaliwa wa kwanza wa punda au kumnunua tena kwa mwana kondoo.
# kila mzaliwa wa kwanza wakiume miongoni mwenu
Kila mtu Israeli aliye kuwa na mwana wa kwanza kuzaliwa, lazima amnunue tena.