# na atakapo wapa nchi ninyi "na atakapo wapa nchi ya Wakanani ninyi" # Kila mzaliwa wa kwanza wa punda Israeli inapewa uchaguzi wa kuua mzaliwa wa kwanza wa punda au kumnunua tena kwa mwana kondoo. # kila mzaliwa wa kwanza wakiume miongoni mwenu Kila mtu Israeli aliye kuwa na mwana wa kwanza kuzaliwa, lazima amnunue tena.