sw_tn/exo/13/11.md

330 B

na atakapo wapa nchi ninyi

"na atakapo wapa nchi ya Wakanani ninyi"

Kila mzaliwa wa kwanza wa punda

Israeli inapewa uchaguzi wa kuua mzaliwa wa kwanza wa punda au kumnunua tena kwa mwana kondoo.

kila mzaliwa wa kwanza wakiume miongoni mwenu

Kila mtu Israeli aliye kuwa na mwana wa kwanza kuzaliwa, lazima amnunue tena.