sw_tn/exo/13/08.md

788 B

Hiyo siku utasema kwa watoto wako, 'Hii ni kwasababu ya kile Yahweh alichofanya kwangu nilipo taka Misri.'

Nukuu yaweza kwa namna isiyo ya moja kwa moja.

Hii itakuwa kumbukumbu mkononi mwako, na kumbukumbu kwenye paji la uso wako

Hii ni kumbukumbu mbili za mwilini ili watu wasisahau kitu muhimu.

kumbukumbu mkononi mwako

Musa anazungumza kuhusu kusherehekea siku kuu kana kwamba inafunga kitu mikononi mwao kuwakumbusha nini Yahweh amefanya.

kumbukumbu kwenye paji la uso wako

Musa anazungumza kuhusu kusherehekea siku kuu kana kwamba inafunga kitu mikononi mwao kuwakumbusha nini Yahweh amefanya.

ili sheria ya Yahweh iwe kinywani mwako

Maneno "kinywani mwako" hapa ya husu maneno wanayo sema.

mkono hodari

Neno "mkono hapa wa wakilisha matendo ya Mungu au kazi.