# Hiyo siku utasema kwa watoto wako, 'Hii ni kwasababu ya kile Yahweh alichofanya kwangu nilipo taka Misri.' Nukuu yaweza kwa namna isiyo ya moja kwa moja. # Hii itakuwa kumbukumbu mkononi mwako, na kumbukumbu kwenye paji la uso wako Hii ni kumbukumbu mbili za mwilini ili watu wasisahau kitu muhimu. # kumbukumbu mkononi mwako Musa anazungumza kuhusu kusherehekea siku kuu kana kwamba inafunga kitu mikononi mwao kuwakumbusha nini Yahweh amefanya. # kumbukumbu kwenye paji la uso wako Musa anazungumza kuhusu kusherehekea siku kuu kana kwamba inafunga kitu mikononi mwao kuwakumbusha nini Yahweh amefanya. # ili sheria ya Yahweh iwe kinywani mwako Maneno "kinywani mwako" hapa ya husu maneno wanayo sema. # mkono hodari Neno "mkono hapa wa wakilisha matendo ya Mungu au kazi.