sw_tn/exo/13/08.md

24 lines
788 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Hiyo siku utasema kwa watoto wako, 'Hii ni kwasababu ya kile Yahweh alichofanya kwangu nilipo taka Misri.'
Nukuu yaweza kwa namna isiyo ya moja kwa moja.
# Hii itakuwa kumbukumbu mkononi mwako, na kumbukumbu kwenye paji la uso wako
Hii ni kumbukumbu mbili za mwilini ili watu wasisahau kitu muhimu.
# kumbukumbu mkononi mwako
Musa anazungumza kuhusu kusherehekea siku kuu kana kwamba inafunga kitu mikononi mwao kuwakumbusha nini Yahweh amefanya.
# kumbukumbu kwenye paji la uso wako
Musa anazungumza kuhusu kusherehekea siku kuu kana kwamba inafunga kitu mikononi mwao kuwakumbusha nini Yahweh amefanya.
# ili sheria ya Yahweh iwe kinywani mwako
Maneno "kinywani mwako" hapa ya husu maneno wanayo sema.
# mkono hodari
Neno "mkono hapa wa wakilisha matendo ya Mungu au kazi.