sw_tn/exo/13/06.md

24 lines
415 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Musa anaendelea kuongea na watu wa Israeli.
# Kwa siku saba
"Kwa siku 7"
# Mkate usio na hamira wapaswa kuliwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# hakuna mkate ulio na hamira wapaswa kuliwa miongoni mwenu
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# Hakuna hamira yapaswa kuonekana
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# kwenye mipaka yenu
"katika mipaka yenu yeyote ya nchi"