sw_tn/exo/13/06.md

415 B

Maelezo ya Jumla

Musa anaendelea kuongea na watu wa Israeli.

Kwa siku saba

"Kwa siku 7"

Mkate usio na hamira wapaswa kuliwa

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

hakuna mkate ulio na hamira wapaswa kuliwa miongoni mwenu

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

Hakuna hamira yapaswa kuonekana

Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.

kwenye mipaka yenu

"katika mipaka yenu yeyote ya nchi"